Sunday, January 27, 2008

Cameroon mwendo mdundo,


Cameroon 5 - 1 Zambia mechi ambayo cameroon ilikua inaita pointi tatu pamoja na magoli ili kusonga ktk michuano hiyo. zambia nayo ilishindwa kupata pointi tatu ili kusonga mbele ktk michuano hiyo ,

No comments: