Mkali wa bongo flever Afrika mashariki mzee wa Baby gal Atimae ameokoka na sasa ni [Bwana asifiwe] yeah kwa sasa king lenny anatarajia kuzindua Album Itwayo (watoto wa bwana) kwa wale wapenzi wa Gospol wakae mkao wa kula kwa uzinduzi uo mwaka 2008 ni mwaka wa baraka asema king lenny,
Wednesday, February 13, 2008
MKALI W BONGO FLEVER KING LENNY AMEOKOKA,
Mkali wa bongo flever Afrika mashariki mzee wa Baby gal Atimae ameokoka na sasa ni [Bwana asifiwe] yeah kwa sasa king lenny anatarajia kuzindua Album Itwayo (watoto wa bwana) kwa wale wapenzi wa Gospol wakae mkao wa kula kwa uzinduzi uo mwaka 2008 ni mwaka wa baraka asema king lenny,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment