
Katiki mishemishe za hapa jijini dar leo nimekutana vijana wajukanao kwajina la Fisi au zoazoa wakitaka kuchukua gari la mama wakijapani. uku mamauyo akitaka kupaki akamwambia nampeleka mtoto ndani nakuja kuweka kwenye pakn yangu fisi hakuelewa yee akafunga gari nakuondoka wakati wanakuja kulibeba gari mama wakijapan akasema gari haitoki lasivyo twende wote ,





No comments:
Post a Comment