Friday, March 28, 2008

MSHIDI WA FUNIKA KICHIZI


Mr salumu Ally kutoka mlandizi kibaha kajishinda sh/= 50000 kwenye mchezo wa funika kichizi. Ally kwa kumuoji anasema kwamba hakupata tabuyoyote wakati akijibu maswali ya funika ,

No comments: