Friday, July 11, 2008

RAYC - STYLE,


Nimoja ya Style za pamba ambazo hupendezesha madada kibao hapa bongo kama rayc vile viwalo vya ukweli msicha yoyote akivitinga viwalo ivi ataonekana waukweli , kutokana na ubora naukiva niwee tu sio foleni .

No comments: